

Mwonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya

Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini

Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari


Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio yakuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi.Picha na Mbeya Yetu
Kaka michuzi umeisikia ajali ya wami darajani? Toka jana saa nne ucku gari hazipiti!
ReplyDeleteMichuzi hii habari ni ya tokea juzi. It is no longer news. Tuwekee latest news za huu mgomo please as so far your blog is lagging in reporting this issue.
ReplyDeleteYa toka juzi wapi bwana! Huna uhakika na unachokisema.
Delete