Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya,Dkt. Eliuta Sanker akiongea na waandishi wa habari wakati akiongelea swala la mgomo wa Madaktari unaondelea hivi sasa hapa nchini na kumesema kuwa mpaka sasa ni madaktari watano 5 tu ndio walioripoti kazini hapo huku madaktari 75 wakiendelea na mgomo.

 Mwonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya
Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini
Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari
Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio yakuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi.Picha na Mbeya Yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka michuzi umeisikia ajali ya wami darajani? Toka jana saa nne ucku gari hazipiti!

    ReplyDelete
  2. Michuzi hii habari ni ya tokea juzi. It is no longer news. Tuwekee latest news za huu mgomo please as so far your blog is lagging in reporting this issue.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ya toka juzi wapi bwana! Huna uhakika na unachokisema.

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...