Home
Unlabelled
kishalia hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa taarifa tu, siku zote mtu mwenyemakosa ni yule aliyesababisha obstruction! Au yule aliyekuwa kwenye Main road ndiyo mwenye right of way.
ReplyDeleteSasa kwakuwa picha yako haijapigwa toka bali kujua nani yuko kwenye barabara jubwa tayari, inabidi nimtetetee mwenye gari Nyekundu. Kwakuwa ameishamaliza manouver/kona na kuingia kwenye barabara kubwa ila huyo mwenye gari ya kijani ndiyo anaanza kuingia na ndiyo maana kamgonga upande wa nyuma wa gari jekundu!
Natumaini nimeeleweka vizuri.
Jamaa mwenye gari yakijani sbb Tanzania tunaendesha kulia na mwenye starlet anaonekana akiwa menroad!
ReplyDeleteMichu huyu mwenye Green atakua kalianzisha,huyu mwenye Red huoni ka yupo MAIN RODI au??
ReplyDeleteMwenye gari ya kijani huo ndio ali yield towards the main way na ndiye aliyetakiwa kuhakikisha hakua gari kulia kwake (lakini kama unavyoona amengia kizembe tu) na kusababisha ajali. Na madereva dezaini hiyo ndio waliojaa hapo Dar. Period!
ReplyDeleteMwenye gari la kijani analazimisha kuingia barabara kuu ndiye kasababisha ajali ila inaelekea hata gari la mbele yao limekaa "tenge" kwa hiyo tukio ni zaidi ya gari moja!!!
ReplyDeleteMjomba Ankali! kuna tofauti kubwa sana kati ya madereva na waendeshaji! maana skuizi utaona mtu kakaa kwenye "vitz" miwani kubwaaaa! sijui kama hizo miwani ni kweli za kuendeshea gari au za kuchomea mageti watu wanavaa tu!huku black bery sjui berry black ikibofywa. kigari kidogoo lakini huo miki unaotoka ukasema tupo kilabuni kwa Mbowe. sasa kwanini wasikwaruzane???
ReplyDeleteinainekana huyo mwenye kigali cha kijani ndio mwenye makosa kwa muonekano ni kwamba anapotokea huyo mwenye kigali cha pink ndipo kwenye main road yani barabara kubwa na huyo mwenye kijani anatokea kwenye barabara ndogo kwahiyo anatakiwa kusubiri wa main road wapite ila kwa ujuha na ujuaji wa kibongo jamaa wa kijani kalazimisha kuchomeka bila kuruhusiwa.
ReplyDeletegari ya kijani inakosa.
ReplyDeleteWewe popobawa wewe..sina mbavu hapa nilipo.hayo mawani makubwa mara nyingi wanavaa dada zetu kwenye hizo vitz unazozisema.Kilichonichekesha ni huo msemo wako wa mawani ya kuchomea mageti au....haaaa haaa haaaaa.Labda wanachoma mageti manake....!!
ReplyDeleteDavid V
Napingana kabisa na mdau wa Fri Feb 24, 01:03:00 PM 2012, na ninaungana kabisa na mdau wa Fri Feb 24, 01:44:00 PM 2012 anayesema kuwa kosa siku zote linategemea rangi za magari husika.
ReplyDelete