Home
Unlabelled
waziri samia suluhu akutana na mwenyekiti wa tume ya pamoja ya fedha ofisini kwake leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uwezo wa Uongozi unategemeana sana na umri!
ReplyDeleteKisayansi, kadiri umri unavyokwenda uwezo wa kufikiri na kumbukumbu zinashuka.
Sasa sioni sababu za keendelea kuwaenzi Wazee katika Idara nyeti kwa vile muda wa kupeana nafasi kwa Shukurani na Takrima umekwisha.
Ingefaa zaidi hawa Wazee wakachanganywa na Vijana ili kuacha Urithi wa Ujuzi na Uzoefu badala ya Wazee kuwa kama HIRIZI au MIBUYU YA TAMBIKO MAOFISINI , huku hatimaye wanakufa na kuzikwa na HAZINA YA UJUZI WAO!