Tarehe 26 /2/2/2012 K.I Co.,Ltd tulikuwa na sherehe za ufunguzi wa jengo jipya la ofisi za kampuni, hii iliambatana pamoja na uzinduzi wa tovuti/Website www.kicoltd.jp. Kampuni ya K.I Co.,Ltd ilianzishwa tarehe 25/12/2008.

Kwa ujumla sherehe ilikuwa ni ya mafanikio. K.I Co,.Ltd. tulieleza jinsi tunavyotoa huduma zetu na jinsi tunavyoweza kufanyakazi kwa uaminifu.

Sherehe hizi ziliudhuliwa na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japan, Pamoja. Na pia Watanzania waishio Japan na Mataifa mengine ambayo pia yalijitokeza katika kutuunga mkono kutokana na kuvutiwa na huduma zetu.
 


Deligation of Tanzania Embassy Japan with KICoLtd Administration.


Mr. Sakamoto KICoLtd Accountant and Mr. Kotani Purchasing Officer

Paul Massawe from Tanzania National Audit Office

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Toeni Website sasa tuanze kuagiza mindinga.... Hapendwi mtu hapa.. Gari tuu

    ReplyDelete
  2. Magari yao ghali sana. Wakati umefika tutengeneza magari yetu hapa hapa TZ. Tuwaite Wafaransa magari yao rahisi sana.

    ReplyDelete
  3. Jamaa wapo sawa. kuhusu bei za magari ni inatokana na ubora wa gari, tatizo sisi wabongo tunapenda vitu vizuri kwa bei ndogo.Anyway tuwajaribu tuone.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...