


Nyomi iliyoitikia shangwe hizo
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ooh wadogo zangu Rihhana alikwenda kujitoa kafara kwa devil worshipper few months ago. Tena hana dini na kila vazi analovaa linamaana kwa hao madevil worshipper i tell you the trueth is not a good person to inspire. Niko Uk kwa muda sasa nawaomba sana msimuige
ReplyDeleteHa haha ha ha, mdau hapo juu umeishiwa, who r u to judge?
ReplyDeleteasante kwa ushauri wako mzuri...watatoa sababu zao kibao lakin angalau we ujumbe umeufikisha kazi kwao...maana wabongo kwa kuiga kiboko
ReplyDeletecall me old fashion ila hivi ndivo 'unenguaji' huwa kwenye ma-stage??tena public???kaaz kweli kweli....
ReplyDeleteDevil worshiper. Unajuaje unachoamini wewe is non-devil kumbe ni devils pia. kwahiyo suala la imani who is devil, who is not devil ni suala la mtu binafsi. Ukiabudu nini ndio sio devil na kipi ndio GOD? Dini zinawachanganya sana.Fuata dini yako wenzio wewe na dini yako unaonekana unaamunu devils kama wao unavyoawaona wengine. Utakuwa CONFUSED! MY FRIEND believe DIVERSITY uta perish siku hizi watu wa maoni mbalimbali tunaingiliana ktk kazi, buznes,sports utashangaa kukuta kumbe unayoona wewe uko sahihi ni minority.Sijui utajinyonga. POOOOLE.
ReplyDeleteKama Rihanna katoa sadaka kwa Mungu wake na mefanikiwa, basi ni changamoto kwako na ww toa sadaka sana kwa huyo Mungu wako ili ufanikiwe. Kama huyo Mungu hakufanikishi basi jiulize km uko njia sawa ndugu.
ReplyDeleteWEWE DADA MWENYE KAPTULA BLUU,KAPUNGUZE UZITO NA HAYA MANYAMA.
ReplyDelete