Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ahsante sana Ankal,

    Hii tutaifikisha kwa Maneja wa Benki na Saccos mbali mbali ambao wanatufungia vitanzi vyao kama wanataka kujinyonga badala ya kufunga Tai halisi!

    Haitoshi, wanawasumbua Wazee waliosoma wakati wa Mkoloni ambao kwa sasa ni wachache sana, wengine wanawapa majukumu ya bureee Madobi wanaozifua Tai zao.

    Kama wakidaiwa malipo ya ziada kwa kufunguwa Tai zao watatoa?

    ReplyDelete
  2. Brother Michuzi asante sana kwa somo hili, hakika umetutoa mahali kwani wengi wetu tulikua tukifunga tai kwa kubahatisha tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...