Home
Unlabelled
jifunze namna ya kufunga tai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ahsante sana Ankal,
ReplyDeleteHii tutaifikisha kwa Maneja wa Benki na Saccos mbali mbali ambao wanatufungia vitanzi vyao kama wanataka kujinyonga badala ya kufunga Tai halisi!
Haitoshi, wanawasumbua Wazee waliosoma wakati wa Mkoloni ambao kwa sasa ni wachache sana, wengine wanawapa majukumu ya bureee Madobi wanaozifua Tai zao.
Kama wakidaiwa malipo ya ziada kwa kufunguwa Tai zao watatoa?
Brother Michuzi asante sana kwa somo hili, hakika umetutoa mahali kwani wengi wetu tulikua tukifunga tai kwa kubahatisha tu!
ReplyDelete