Novemba 18, 1995: Ankal akiwa na wadau. Katikati ni Kabendera Shinani wa BBC (marehemu) na kulia ni Moshy Kiyungi wa The Guardian siku moja kabla ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tatu Mh Benjamin  William Mkapa uwanja wa Uhuru. Hapo ni wakati wa rihezo ya jinsi gani kazi itafanyika bila kelele wala mikwaruzo. 


Huu ni mwendelezo wa safu ya kila Jumapili ya KUTOKA MAKTABA ambapo Globu ya Jamii inakaribisha wadau wenye taswira za miaka ya nyuma waje washee nasi kwa kuzituma kupitia  issamichuzi@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hiyo tai ya anko michuzi imefungwa kinamna namna. duuuuuu!

    ReplyDelete
  2. Dah, Ankal enzi hizo ulikuwa umefulia nini! Very slim kitambi hakuna kabsaa haha, mambo ya enzi hizo bwana!

    ReplyDelete
  3. Ankal huu ndio mwili unaotakiwa itabidi ujifue sana urudie umbo hii;)

    ReplyDelete
  4. Teh teh teh kwani huyo jamaa yako wa kuumeni kulikuwa na ulazima wa kuvaa tai ?

    ReplyDelete
  5. then broke out to kill civilians, Tanzania and others rush to ditch kenya today, but just getting justice is the day God will give his judgment here on earth,
    no more of killing a good history and restore the land back and destroy the economy,

    ReplyDelete
  6. Bro Michuzi kumbe ulikuwa hivi, umetoka mbali!!

    ReplyDelete
  7. Ankal mambo ya Suluari za "celebrations" ndiyo yalikuwa yanaingia siyo?Si mchezo mkuu.Sasa tumeacha tena celebrations tumerudi tena kwenye flat tena..hahaha..pochi kubwa mfuko wa nyuma iliyojaa business cards na magazeti hahahaaaa..wabongo bwana.

    David V

    ReplyDelete
  8. aisee hio tai ya mwenye suruali nyekundu...duuuh,ankal ulikuwa huna kitambi lol

    ReplyDelete
  9. Ankaaaaal..........Ankala saivi noumaaa kaka umetoka mbali na hili tasnia ya uhandishi na ki ukweli mko wachache wenye weledi haswaaa wa hii taaluma

    Mdaw

    ReplyDelete
  10. jamani,kweli saizi maisha mazuri sana maana hii picha imeongea mengi,hongera aisee hata kuwa na afya nzuri ni maendeleo pia

    ReplyDelete
  11. Nyie mnaomshangaa ankal kaangalieni na nyie picha zenu za 1995, ooh ankal ulikuwa hivi ooh ulikuwa umefulia nani kakwambia kunenepa na kitambi ndio pesa kwa taarifa yako unene na kitambi ni maradhi. Kwendeni zenu tena msisahau kungalia picha zenu ili ujumbe muupate kamili.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 01, 2012

    Acheni kumsakama Ankal,,,Tafadhali.

    Ujumbe mkuu ni kuwa tusifikiri Maendeleo ktk Fani au kitu yanakuja kama mvua au kwa haraka tuangalie kuanzia hiyo mwaka 1995 Ankal yupo kwenye fani hadi hii 2012 pana miaka 17 (umri wa mtu ambaye naye sasa anajitambua).

    Changamoto nyingi, milima na mabonde amezipitia, visiki na vigingi kutoka kwa Walimwengu,,,sio mchezo na sasa mtu anapopanda madege wamwache nae atanue kwa nafasi yake!

    Hongera Ankal kwa ustahimilivu kwa miaka hii 17 ya kazi !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...