Home
Unlabelled
pasaka njema wadau wote
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wakristo mpoooo!! ndugu zangu hii leo ni mpya, yaani Ankal kaweka picha yake kwenye kitabu takatifu cha bibilia !!!! au macho yangu ???? je ?? ingelikuwa Koran,lingeliwekwa donge nono la million 20 dola kwa yeyote atakaye kata kichwa cha Ankal !! lakini wakristu sisi aka !! tuna cheka hatuna noma kabisa . Ankal hongera kwa kututakia Pasaka njema na umetoka bomba kwenye hilo agano la kale. ndugu Ngwana Magese.
ReplyDeleteNgwana Magese,
ReplyDeleteSawa Umetulipua Waislamu na Kombora lako limezama kwetu sawa sawa ikiwa leo ni Ijumaa.
Isipokuwa usichukulie kuwa sisi ni Wauaji ni vile Misingi ya Itikadi yetu ipo 'highly very strict' na hivyo misimamo inatofautiana kulingana na Madhehebu !
Ndugu hapo juu,huna hati milki ya bibilia kama mkriso,ndio maana hata hufuati yaliyomo ndani ya biblia ,muislam anahaki yakuitetea kuisoma kuiheshimu na kuifuata as you can see on Leviticus 11 vs 7)and Isaiah 43 vs 10 to 12)
ReplyDeleteAhsante Ankali, hii ndio Tanzania yetu kutakiana mema bila kujali itikadi zetu
ReplyDeletehatujakataa kusoma biblia suala ni kuanza kuua watu kwa sababu za kipumbavu, hapo ingekuwa korani ungeona maandamano na mabomu kila kona, sie wakristo hatuna noma kwa sababu tumesoma
ReplyDelete