KWA NIABA YA KIKOSI KAZI CHOTE CHA GLOBU YA JAMII DUNIANI, ANKAL ANAKUTAKIA PASAKA NJEMA YENYE HERI NA FANAKA. BURUDIKA NA YALIYOPITA JAPO SI NDWELE KAMA ZAWADI YAKO PASAKA HII...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wakristo mpoooo!! ndugu zangu hii leo ni mpya, yaani Ankal kaweka picha yake kwenye kitabu takatifu cha bibilia !!!! au macho yangu ???? je ?? ingelikuwa Koran,lingeliwekwa donge nono la million 20 dola kwa yeyote atakaye kata kichwa cha Ankal !! lakini wakristu sisi aka !! tuna cheka hatuna noma kabisa . Ankal hongera kwa kututakia Pasaka njema na umetoka bomba kwenye hilo agano la kale. ndugu Ngwana Magese.

    ReplyDelete
  2. Ngwana Magese,

    Sawa Umetulipua Waislamu na Kombora lako limezama kwetu sawa sawa ikiwa leo ni Ijumaa.

    Isipokuwa usichukulie kuwa sisi ni Wauaji ni vile Misingi ya Itikadi yetu ipo 'highly very strict' na hivyo misimamo inatofautiana kulingana na Madhehebu !

    ReplyDelete
  3. Ndugu hapo juu,huna hati milki ya bibilia kama mkriso,ndio maana hata hufuati yaliyomo ndani ya biblia ,muislam anahaki yakuitetea kuisoma kuiheshimu na kuifuata as you can see on Leviticus 11 vs 7)and Isaiah 43 vs 10 to 12)

    ReplyDelete
  4. Ahsante Ankali, hii ndio Tanzania yetu kutakiana mema bila kujali itikadi zetu

    ReplyDelete
  5. hatujakataa kusoma biblia suala ni kuanza kuua watu kwa sababu za kipumbavu, hapo ingekuwa korani ungeona maandamano na mabomu kila kona, sie wakristo hatuna noma kwa sababu tumesoma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...