Usemi huo umejidhihilisha  kwenye barabara ya eneo hili ya Victoria kama unaelekea Hospitali ya Kairuki,Mikocheni jijini Dar.kama kamera ya Globu ya Jamii ilivyoweza kuinasa taswira hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huu ni uyaga uyaga tu wa hili Taifa.

    ReplyDelete
  2. Sasa ni wakati wa kuwajibishana kwa mambo kama haya.

    Huyo Mkandarasi aliyejenga hii barabara alitoa Msaada au alisaini Mkataba unaombana kuhusu ubora na uhakika wa kazi yake?

    ReplyDelete
  3. Hii kali inabidi meya afukuzwe kazi!

    ReplyDelete
  4. Duh! Ya Leo Kali!

    ReplyDelete
  5. Wafanyakazi serikalini wote tanzania ni wezi. Kuna wanaoacha kazi mchana wakaangalia globu kebekebe zilizojaa mitaani na kuongea na simu za kipuuzi wakati wa kazi. tena mbele ya bosi. Vifo vyote vya mtaani lazima ahudhurie, na vifo vingi kuonboleza ni siku tatu. Wafanyakai hawakai katika madeski yao, mfanyakazi wa serikali anashabikia siasa ofisini, Mtu akiumwa anapiga simu tu, "ninaumwa" hapiti ofisini kuchukua sick sheet, na anaweza akalala siku tatu nyumbani, akiulizwa bosi mkorofi. Masaa mengi ya serikali yanapotea katika shughuli za hapo juu ukiacha biashara za ofisini zinavyoendelea kama kariakoo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...