Home
Unlabelled
songi jipya la Kajumulo - looking for love
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JAMAA ANIACHA HOI KWELI WALAH, HE DOES NOT GIVE A MONKEY, HE JUST SINGS WHATEVER COMES OUT FROM HIS MIND....
ReplyDeleteSukuma version would be much better than this!
ReplyDeleteNice,am searching for love
ReplyDeleteThanks for the tip Mr kajumulo.
ReplyDeleteDr Gangwe Msela Nondo.
NICE ONE LAKINI WIMBO WA VOCHA ULIOIMBWA NA DOGO ASLAY FT HASSAN NI MWISHO WA RELI.
ReplyDeleteWOOOOOOOTE WATAIMBA LAKINI DOGO ASLAY NIMEMKUBALI. DOGO KAJAALIWA SAUTI KMA JUSTIN BIEBER AU NEYO.
Alikujaga houston akafanya mahojiano kwenye redio, ilikuwa aibu maana akaanza kuchanganya mambo ya soka, kuuza nguo mpaka jamaa wakadata. Michuzi mshauri mwanao atafute kazi ya kawaida, huu usanii umefikia mwisho
ReplyDeletemy goodness, you can't be serious with this. I fully support my countrymen; but sometimes I have to say NO
ReplyDeletekwa wimbo huu hakupendi mtu
ReplyDeleteNice one Babu kajumulo!!! Keep your game tight...
ReplyDeleteKajumulo umerudi katika nyimbo?Hakya Mama! bado uganga wa kienyeji sasa! Kwisheney Kajumulo
ReplyDeleteJamaa anajua ku-force talent, kuimba nadhani si kipajia chako labda, stick na kupiga ngoma.
ReplyDeleteHuu wimbo ni MBAYA.. Bwana Kajumulo ulikuwa unafikiria nini??
ReplyDeleteNDUGU YANGU KAJUMULO,,KUSEMA ULE UKWELI HIYO NYIMBO,,INAWAFAA HAO HAO WAZUNGU,,USITHUBUTU KWENDA BONGO UKAWATOZA WATU KIINGILIO ETI WANAKUJA KUSIKILIZA HAYO MAONGEZI YAKO,,NAYAITA MAONGEZI MAANA NYIMBO HAINA MELODY,MIZANI,AU HATA RHYTHM YA MZIKI WA KIAFRICA HAIPO YAANI HAIPO..WEWE NI MUHAYA MWENZANGU,LAKINI NAKWAMBIA KAKA YANGU HATA HUKO MULEBA UKIWAIMBIA WATAKUCHAPA VIBOKO,,PENGINE UNAWEZA KUIMBA,KAMA UTAMTAFUTA MTUNZI NA WA KUKUSAIDIA KUIMBA KWA SAUTI NZURI WEWE PENGINE UKARAP TU!HIYO INAWEZA IKAKUTOA OTHERWISE,UTATOKOTA!
ReplyDeleteACHANA NA MIZIKI,,JIKITE KATIKA SOKA,NA KUUZA HIZO NGUO ALIZOSEMA MDAU HAPO JUU!
NAKUTAKIA KILA LA KHERI
AHLAM,,,LONDON
NIMEANGALIA WIMBO WA ZUWENA!KAJUMULO UMEIMBA VIZURI SANA NA HAO ULIOWASHIRIKISHA IMETOAKA VIZURI SANA,,KWELI HAPO UMETANGAZA KISWAHILI NA KUITANGAZA NCHI YAKO VIZURI,,,HATA UKIAMUWA KWENDA NAO BONGO ITALIPA
ReplyDeleteBIG UP A.K!!!
AHLAM,,LONDON
Wanaokandia huu wimbo wakapimwe, lazima watkuwa na 'Taahira ya Akili'
ReplyDeleteSongi matata sana hili, top hit! Big up Kaju and keep it up! Hapa umetuonyesha talent ya kuzaliwa sio huo mpira uliojifunzia ukubwani! Sasa kaka misupu ukituwekea vitu vizuri kama hivi itakuwa vizuri utisaidie ni wapi tutavipata, mimi naitafuta hiyo album/cd niinunue niwe naburudika nayo ndani ya gari, nitashukuru kwa msaada wako! Waliomkandia kaka Kaju ni haters tu!!
ReplyDeleteHahahahaha! jamaa ana pesa nyingi eeh? make nimeenda youtube kusikiliza nyimbo zake nimecheka sana. Napenda vile huwa hukati tamaa!
ReplyDelete