
Wapiga kura watatu waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya Lema wakiwa mahakamani kabla ya hukumu ya kesi hiyo kuanza kusomwa na jaji Gabriel Rwakibarila katika mahakama kuu kanda ya Arusha, Kushoto ni Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel .Picha zote na Shaaban Mdoe
Ohhh Maumuvi makali Chadema pumzi zimewakatikia baada ya kisu kuzama katikati ya kifua!
ReplyDeletewowwww
ReplyDeleteHAWA JAMAA NDIYO MFANO WA MATUMIZI MAZURI YA "PEOPLE POWER" UHUNI NA UBAZAZI WA BAADHI YA WANASIASA UTAKOMA PALE WANANCHI WENYEWE, WAPIGA KURA WATAKAPOCHUKUA HATUA - WATZ TUNA SIFA YA UTULIVU. TUENDESHE SIASA ZA KISTAARABU, TULINDE HAKI NA UTU WA WAGOMBEA WOTE HUSUSANI WANAWAKE AMBAO NDIYO HUPOROMOSHEWA MATUSI, KASHFA NA UDHALILISHAJI. TUKATAE WANAWAKE WANAPODHALILISHWA KAMA ILIVYOTOKEA ARUSHA MJINI. MAMA AGNES MOLLEL ASANTE KUUNGANA NA BW HAPPY NA BW MUSSA KUTETEA HAKI!
ReplyDeletesAFI SANA!
ReplyDeleteKwanza kabisa sijali nani yuko madaraki ilimradi wanaleta maendeleo. Ila kwa kesi hii nina wasiwasi saaaaana na uhamuzi wa jaji kwasababu ukweli ni kwamba justice system yetu imeoza na haki kupatikana ni vigumu kwenye kesi kama hii ambayo ccm wameshikilia mpini.
ReplyDeleteIssue sio mwanamke wala mwanamme, issue ni HAKI NA SHERIA KUCHUKUA MKONDO WAKE. Hapa ccm wanatumia nguvu ya sheria kwa sababu wameshikiria mpini, too bad..
Sura zinaonyesha ni vibaraka - ......lakini ujue mfa maji haishi kutapa.
ReplyDeleteUpotezaji wa hela za kodi tu. Mgombea mwenyewe hakufungua kesi, sasa wewe pilipili usioila yakuwashia nini?
ReplyDeleteYaani hawa wanachama watakuja kuingia matatani kwa sababu sasa wanaipaza CHADEMA Zaidi. Kwani maumivu itakayoyapata baada ya kiti kuchukuliwa tena na CHADEMA huku kidonda cha Arumeru Mashariki hakijapona.
CHADEMA ina golden chance going toward 2015 na kesi imara kwa wananchi, kwani wakishashinda TENA Arusha, people will start paying attention hata kwenye sehemu ambazo sio ngome ya CHADEMA. Uchaguzi mdogo una attention nchi nzima, kwa hiyo hata sehemu ambazo zilikuwa zinaikumbatia CCM zitaanza kufunguka kuwa si jambo ya ajabu kuichagua CHADEMA.
Itakuwa msingi imara na ni validation ya CHADEMA kuongoza ikiibwaga TENA CCM kwa mara ya pili Arusha Mjini. Kumbuka madiwani viti 8 wamekomba vyote, CCM haijaambulia kitu. Halafu bado Segerea. Kutakuwa hakutoshi kabla ya 2015.
Hawa ndio mashujaa wa Arusha watu watatu tu wameweze kuleta mapinduzi ya haki. Hongereni sana. Hawa CHADEMA wanajionyesha walivyokuwa na umimi, ubinafsi, mahakama inafanya vyema tu ikiwa matakwa yao yamesikilizwa vinginevyo mahakama zimeozo, kilicho bora kwa nini? Wao waendelee kuota kama wanadhani Arusha ndio Tanzania basi waendelee na fujo zao, wasituletee huku kwetu Pwani.
ReplyDelete