Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mbolea iliyorundikana kwenye maghala ya kiwanda cha mbolea cha Minjingu Mkoani Manyara wakati alipotembelea kiwanda hicho leo. Kiwanda hicho kimesimamisha uzalishaji baada ya mbolea yake kukosa soko. Kushoto ni ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Tosky Hans.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua utengenezaji vyandarua na nguo katika kiwanda cha A to Z cha Arusha. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa kwanda hicho, Anuj Shah.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili. Kulia kwake ni Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...