Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mh Radhia Msuya akiongea na Watanzania waishio jimbo la Gauteng nchini humo kuhusu maswala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha umoja wao na kushirikiana kwa hali na mali
 Balozi Radhia Msuya (kushoto) akiendelea na mkutano wake na Watanzania waishio Gauteng
 Picha ya pamoja baada ya mkutano
Balozi Radhia Msuya na viongozi wa jumuiya ya Watanzania 
waishio jimbo la Gauteng

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2012

    Mfecane,Chief Dingiswayo,etc

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2012

    Wabongo tupo kila mahala. Anyone in Peru?

    ReplyDelete
  3. Hongereni kwa kufanya mkutano. Nawatakia kila la heri katika kazi ya kuimarisha jumuiya ya watanzania Afrika Kusini (TALGA).
    Dkt Faustine Ndugulile

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2012

    Kwa kweli tumefarijika sana kwa hatua hii njema kwa umoja wetu. Tunamwomba Balozi Radhia aendelee kutulea ili tuwe na mchango zaidi kwa nchi yetu.
    Mdau

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2012

    Namwona Mayor wa Johanesburg Mzee Masika, Ibra (Precision) etc!! Congrats

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...