Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde toka Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam,inataarifu kuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM,Dk. Milton Makongoro Mahanga (pichani) ameshinda kesi iliyofunguliwa dhidi yake ya kupinga ushindi wake wakati wa uchanguzi Mkuu wa Jimbo hilo la Segerea iliyokuwa imefunguliwa na Aliyekuwa Mgongea Ubunge kwenye Jimbo hilo kwa tiketi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Fred Mpendazoe (picha ya chini).
habari kamili itawajia baadae kidogo.
Uchaguzi wa Ubunge 2010,Kesi ya kupinga matokeo 2011,hukumu 2012,Uchaguzi mdogo??2012,Uchaguzi mkuu 2015.Kazi kweli kweli na kesi nyingi.
ReplyDeleteDavid V
HUU NI USHINDI WA JEURI YA FEDHA.USHAIDI UPO WAZI, NA USHINDI HUU BATILI UNAMAANA KUBWA KWETU WANANCHI.IPO SIKU CCM HAITAKUWA MADARAKANI NA WATAONJA JOTO YA KUWA WAPINZANI.HII NI SEHEMU TU YA MAPAMBANO.HATULALI HADI KIELEWEKE.
ReplyDeleteMtakesha sana tena sana, sisi wananchi tuliowengi tunaopenda amani kamwa hatutakubali kutawaliwa na chama cha kidugu, ukabila na udini cha chadema, bora zimwi likujaalo................looh abadani, na si muda mrefu na wananchi wa kanda ya kaskazini hususan arusha watazindukana pia, sabodo anawapeni mamilioni kila siku kwa nini hamzitumii kwa ajili ya bunge wenu kama pesa ndio inatumika, badala yake zinaliwa na wenye meno............nyie kainebaho na ubwezu wenu!
ReplyDeleteHuu ushindi sio kabisa!!!???? no no nooooooooooooooooooo!!??????
ReplyDeletekama huu ni ushindi batili vipi ule wa tundu lisu kule singida? acheni kuwa kinyonga.
ReplyDeleteHongera Dr Mahanga, Naamini haki imetendeka, basi tuendeleze jimbo na si vinginevyo.
ReplyDeleteHuu ni ujinga sasa kusema kama wa Singida ulikuwa hivi kwa nini wa Segerea haukuwa hivi!Yaani Chadema wakishinda Singida lazima wasinde na Segerea? Hoja gani hizi.
ReplyDeleteNdo ujue sasa kuwa mahakama ni chombo cha haki,pale palipo na haki yako utapata,kama ni uongo utaambiwa pia.