Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde toka Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam,inataarifu kuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM,Dk. Milton Makongoro Mahanga (pichani) ameshinda kesi iliyofunguliwa dhidi yake ya kupinga ushindi wake wakati wa uchanguzi Mkuu wa Jimbo hilo la Segerea iliyokuwa imefunguliwa na Aliyekuwa Mgongea Ubunge kwenye Jimbo hilo kwa tiketi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Fred Mpendazoe (picha ya chini).

habari kamili itawajia baadae kidogo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2012

    Uchaguzi wa Ubunge 2010,Kesi ya kupinga matokeo 2011,hukumu 2012,Uchaguzi mdogo??2012,Uchaguzi mkuu 2015.Kazi kweli kweli na kesi nyingi.

    David V

    ReplyDelete
  2. HUU NI USHINDI WA JEURI YA FEDHA.USHAIDI UPO WAZI, NA USHINDI HUU BATILI UNAMAANA KUBWA KWETU WANANCHI.IPO SIKU CCM HAITAKUWA MADARAKANI NA WATAONJA JOTO YA KUWA WAPINZANI.HII NI SEHEMU TU YA MAPAMBANO.HATULALI HADI KIELEWEKE.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2012

    Mtakesha sana tena sana, sisi wananchi tuliowengi tunaopenda amani kamwa hatutakubali kutawaliwa na chama cha kidugu, ukabila na udini cha chadema, bora zimwi likujaalo................looh abadani, na si muda mrefu na wananchi wa kanda ya kaskazini hususan arusha watazindukana pia, sabodo anawapeni mamilioni kila siku kwa nini hamzitumii kwa ajili ya bunge wenu kama pesa ndio inatumika, badala yake zinaliwa na wenye meno............nyie kainebaho na ubwezu wenu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2012

    Huu ushindi sio kabisa!!!???? no no nooooooooooooooooooo!!??????

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2012

    kama huu ni ushindi batili vipi ule wa tundu lisu kule singida? acheni kuwa kinyonga.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2012

    Hongera Dr Mahanga, Naamini haki imetendeka, basi tuendeleze jimbo na si vinginevyo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2012

    Huu ni ujinga sasa kusema kama wa Singida ulikuwa hivi kwa nini wa Segerea haukuwa hivi!Yaani Chadema wakishinda Singida lazima wasinde na Segerea? Hoja gani hizi.

    Ndo ujue sasa kuwa mahakama ni chombo cha haki,pale palipo na haki yako utapata,kama ni uongo utaambiwa pia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...