Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde inaeleza kuwa Mchezaji wa Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam na Timu ya Taifa ya Rwanda, Patrick Mafisango (pichani) amefariki Dunia kwa ajali ya Gari alfajiri ya leo majira ya saa kumi hivi wakati akiwa njiani kurejea nyumbani kwake.
Globu ya Jamii inaendelea kuwatafuta viongozi wa timu ya Simba ya Jijini Dar ili kupata taarifa zaidi juu ya Kifo cha Mchezaji huyo. Hivyo tuvute subira mpaka hapo Globu ya Jamii itakapo kuja na taarifa kamili.
Bwana ilitoa na bwana ametwaa, kapumzike kwa amani mpendwa wetu Patrick Mafisango. Tulikupenda sana wanasimba.
ReplyDeleteR I P Patrick Mutesa Mafisango u were my model in TZ will miss u r fightness in the pitch
ReplyDeleteHabari hizi Michu ni za kweli huyu bwana amepata ajali maeneo ya Chang,ombe akirejea nyumbani toka matembezini,kiukweli ni habari za kusikitisha sana na hakuna jinsi zaid ya kumwombea.
ReplyDeletenimeumia sana. Umuhimu wake msimbazi ulikuwa mkubwa sana. Kiungo we2 ndo ka2toka. Nikikumbuka mechi ya juz sudan. Alicheza kwa moyo sana. Pigo kwe2 wanamsimbazi. RIP MAFISANGO
ReplyDeleteRIP! If it was meant Return If Possible, then would have been happy! We will miss u Mafisango!
ReplyDeleteNimesikitika sana baada ya kusikia hizi taarifa redio one, Ndugu yetu Patrick Mafisango umetangulia kapumzike kwa amani.
ReplyDeleteWanamsimbazi tujipe moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu,R.I.P Patrick Mutesa Mafisango
ReplyDeleteMafisango utakumbukwa daima kwa jinsi ambavyo ulikuwa ukihasisha wachezaji wenzako uwanjani.Ulikuwa chachu ya mafanikio ya klabu ya simba kwa msimu wa 2011-2012. R.I.P Mafisango.
ReplyDeletePoleni mashabiki wa simba! RIP mafisango.
ReplyDeleteRIP Mafisango. Tunawapa pole familia na mashabiki na Taifa zima kwa pigo hili.
ReplyDeleteBwana ametoa na bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
rip patric mafisango
ReplyDeleteRIP patrtic mafisango tulikupenda ila mungu kakupenda zaid
ReplyDeleteInauma kumpoteza mtu muhimu wana msimbazi,pumzika kwa amani mpendwa wetu!daima utakumbukwa kwa juhudi zako.
ReplyDeleteBwana alitoa na Bwana ametwaa, Pumzika kwa amani!
ReplyDeletedah! ebwana bonge la pigo,
ReplyDeleteMafisango, kiungo mapafu ya mbwa, anakaba, anamalizia pasi ya mwisho kufunga...aaaahhh nimeumia sana, kiungo ana mabao 14 kwa ligi za huku africa? dah, basi bwana, ila mafisango..ni pengo kubwa.
daaahhh pumzika kaka, tunashukuru kwa mchango wako kaka.
dah mafisango?? aahhh ebwana nimeumia mnoo..kiungo mapafu ya mbwa, kila kona ya uwanja yupo, ball control ya kufa mtu, kiungo mabao 14? dah ebwana hata siamini ila aahh PUMZIKA SALAMA KAKA, ila mchango wako ni mkubwa mno, dah pumzika kaka wengine tunafuata.
ReplyDeleteNami ninapenda kuchukuwa nafasi hii kuwapa pole wapenzi wa Simba na ndugu na marafiki wa Rwanda na wazazi wake huyu ndugu yetu Patrick.
ReplyDeleteNi kwamba mtu akifa kumbukumbu yake imefungwa hivyo hatuwezi kusema tunamwombea maana Mungu ameishafunga record zake na hakuna kitakachobadilishwa tena kwa sasa na Mungu. So naungangana na wana ndugu wote kusema poleni simba na wazazi na ndugu wa karibu kuwapa pole kwa msiba huu. Mungu awasafirishe salama kwenda kumpumzisha huyu mpendwa wetu.
Amina
RIP umeondoka kipindi kibaya zaidi. kwani tulikuhitaji msimbazi tusheherekee karibu mwaka mzima ubingwa ulichangia kuuleta msimbazi mwaka huu...... tutakukumbuka daima.
ReplyDeleteLahaulah, mungu ameweka mahali pema peponi, kwa muda mfupi Mafisango aliiweka Tanzania katika daraja la juu la soka katika Afrika licha ya kwamba alikuwa ni raia wa kigeni.
ReplyDeletemungu amrehemu ila jamaa alikuwa anakifaa cha nguvu ...si mchezo alikuwa nakitumia kisawasawa inaelekea
ReplyDeleterest in peace... bongo watu wataendelea kufa kila kona na kila siku na tutaendelea kumsingizia mungu hali ikijulikana kuwa ni tararibu mbovu na usalama uliozezeta wa taifa zima
ReplyDeletehuku ughaibuni hii nchi ninayoishi tunaweza kukaa hata miezi 6 tukaona kwenye habari mtu mmoja labda amepata ajali.
R.I.P Patrick,huyu jamaa nilimwona akicheza mara moja tu Uwanja wa Taifa Simba na Setif.Mpira alikuwa 'anaujua'.Pole wachezaji wa simba,mashabiki wa Simba,familia,ndugu jamaa na Marafiki.
ReplyDeleteDavid V(Yanga)
Ukipendacho wewe na M-Mungu na yeye anakipenda vilevile
ReplyDeleteMafisango umetutangulia na Roho yako ipumzike kwa amani. Amen
ReplyDelete