Mwandishi wa habari gazeti la Mwananchi Tausi Mbowe akiwa na mpambe wake Paskalia Funga wakati wa sherehe yake ya kukabidhiwa vyombo vya jikoni(kichern party) iliyofanyika katika ukumbi wa Parm Tree Sinza Jijini Dar es Salaam juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2012

    Hongera dada Tausi, kila la kheri katika safari yako ya ndoa.

    Hamida

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2012

    Hongera sana, Mmependeza vilivyo.

    ReplyDelete
  3. Hongera Ms. Tausi! Nakutakia maisha mema ya ndoa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2012

    Hongera Tau ila mshono wako wa nguo sio kwa umbo lako hope your wedding dress will much better.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...