Ankal, 
Hebu niulizie kwa hawa ndugu zetu wanaohusika na ukaguzi wa ujenzi nchini. Hivi wanaona haya ama wanayafumbia macho?? Maana Usalama kazini hapa ni ziro kabisa
Mdau


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ni hizo ahadi zao tu zinakuwa hazijafika kusema kweli, maana wanafanya kazi katika mazingira magumu na yasiyojali suala zima la "healty and safety" makazini. Vilele vitendea kazi navyo viko very poor. I think something has to be done, regarding "healthy and safety" issue at the workplace na sio kuwafanyisha kazi tu mradi wapate rizki zao, il-hali roho zao mnazining'iniza mithili hiyo.

    ReplyDelete
  2. Mtu halazimishwi kazi na kama anaona hana usalama basi aondoke zake na watu wenye njaa watakuja na kujaza nafasi yake. Wewe umeona hii tu, wewe jiulize ni watu wangapi wanaokufa barabarani kila siku?Who cares?Maisha ya mtanzania hayana thamani kabisa na huo ndio ukweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2012

    you are rait my broda, umelonga ya maana sana na sina cha kuongeza kwani umemaliza kila kitu. tank u vr much.Tank u again and agein(NB.Najua kuna washamba watajifanya kukosoa my english lakini nataka wajue hii siyo english bali nimeitumia kumjibu mshamba fulani anayewathamini wapopo wa kinaigeria hadi akataka eti na sisi wabongo tuwe na kiswanglish)

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2012

    ngoja nikizipata picha za wajenzi wa world trade center nitakutumia, na wenyewe ni hivi hivi tena wako juu sana , kitu ninachokiona wamevaa ni helmet,lakini akiteleza akaanguka hiyo helmet haitamsaidia -hapo kufa ni lazima je ?? wewe uliyetupigia hizi picha -ndani ya akili yako unafikilia helmet au saftey harness. na je ?? katika statistics za hawa wajenzi wetu bongo, how many cases of death or injury ambazo wewe una kumbukumbu nazo ?? Zebedayo

    ReplyDelete
  5. ArchitectMay 30, 2012

    Mkuu! yaani huwezi kuamini hapo Utakuta hakika kila taasisi husika imeishatimiza wajibu wake! Hapa Tanzania tuna taasisi kama OSHA,CRB,AQRB,ERB na nyingine zote zitatembelea maeneo ya ujenzi na kuelekeza namna ya kuangalia usalama wa wafanyakazi.Zipo pia adhabu za papo kwa hapo kwa wafanyakazi wanaokutwa hawajavaa vifaa vya usalama...au kufunga mikanda kwa wale wanaofanya kazi juu! Lakini watanzania ni wagumu hakuna mfanao...Fananisha hili la swala na kufunga mikanda kwenye magari au kuvaa helmet kwa wapanda pikipiki...utapata jubu zuri....

    Mimi ni mmoja wa wakaguzi,na tumeyaona.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2012

    Kibongo bongo, bora Liende. Aibu iwe juu yetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...