Leo tumefikiwa na ugeni hapa UK kutoka nyumbani. Mheshimiwa DEO SANGA mbunge wa njombe kaskazini na mjumbe wa kamati ya bunge ya viwanda na biashara alifika kuangalia ni jinsi gani tunavyochapa kazi ofisini kwetu.
Sie kazi yetu kubwa ni kusafirisha magari lakini pia tunafanya ukaguzi wa magari yanayoenda KENYA tukishirikiana na kampuni ya QIS kukagua magari yote yaendayo kenya. kwa sasa tuliomba kukagua magari yaendayo Tanzania na tunasubiri majibu Kama tunavyojiita wazee wa kazi, vitu vyetu vinaonekana hadharani Mitambo ni mipya kabisa kama inavyoonekana na ipo ofisini kwetu sio kwa jirani
Kind Regards
CHRIS LUKOSI
Managing Director
mmhh!!!
ReplyDelete