Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la WWF Duniani,Dk. James Leape (kushoto) akielezwa jambo na Mkurugenzi wa Shirika hilo nchini Tanzania,Devandra Rana (kulia) wakati mkuu huyo alipofanya ziara ya kutembelea ofisi za WWF jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la WWF Duniani,Dk. James Leape akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika kwenye ofisi za WWF jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kuangalia miradi mbali mbali ya Shirika hilo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la WWF Duniani,Dk. James Leape (kushoto) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la WWF.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la WWF wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa wao,Dk. James Leape (hayupo pichani) wakati azingumza nao leo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la WWF Duniani,Dk. James Leape (kulia) akibadirishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika hilo hapa nchini wakati alipotembelea ofisi za Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la WWF Duniani,Dk. James Leape (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika hilo hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2012

    kwa kuwa miradi inayofadhiliwa na kusimamiwa na wwf inawalenga watanzania basi tungependa kuona wabongo wengi ndo wanafanya kazi katika hili shirika tena kwenye managerial position ili kuwajengea uwezo na si kama hapo wazungu bado wanakuwa wengi kwenye miradi ambapo mwisho wa siku unakuta karibu asilimia 60 ya fedha za miradi zimewarudia hao hao wazungu.
    Otherwise tuige mfano wa wenzetu Rwanda.m

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...