Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2012

    Kama mpenzi wa Liverpoolfc hilo goli linautata naweza kusema sio goli ila unapokuja upenzi itayomuangukia atasema ni goli, TEKENOLOJIA wanazangumzia walete wakati zipo ndio hizo hapo za kugandisha camera waenda kwenye TV warudi waseme goli au sio goli, MAONI YANGU ANKAL JE KWANINI MPIRA KWENYE CHAKI YA PEMBENI WANASEMA UMETOKA? AU KONA? NA HIYO ISIWE GOLI SABABU WANASEMA HAUKUINGIA WOTE TIZAMA GLOVES WAPI KA SAVE? NDIO UENDE KWENYE MWAMBA? GAME IMEISHA LFC NDIO TUJIFUNZE KATIKATI KUWEKA VIJEMBE WAKALI NA WAMALIZIAJI Welldone 2 CHELSEA. PAZI

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2012

    mwamuzi alikuwa makini sana, kwani angekubali kama ni goli, ingekumbusha machungu ya lile goli mlilozawadiwa mfungaji akiwa Luis Garcia katika champions league ya 2005, lililookolewa na William Gallas. Mnakumbuka lakini nyinyi wapenzi wa Liverpool.....au mnajua kulalamika bila ya kuwa na data.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2012

    Wadau hapo juu mmemaliza kazi. Tuwe a kumbukumbu na yaliyopita siyo kulalamika tu.Bigup the blues endelezeni maajabu mpaka Champions league.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...