Home
Unlabelled
refa awaliza bwawa la maini kwa kukataa goli swaaaaaafi kabisa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama mpenzi wa Liverpoolfc hilo goli linautata naweza kusema sio goli ila unapokuja upenzi itayomuangukia atasema ni goli, TEKENOLOJIA wanazangumzia walete wakati zipo ndio hizo hapo za kugandisha camera waenda kwenye TV warudi waseme goli au sio goli, MAONI YANGU ANKAL JE KWANINI MPIRA KWENYE CHAKI YA PEMBENI WANASEMA UMETOKA? AU KONA? NA HIYO ISIWE GOLI SABABU WANASEMA HAUKUINGIA WOTE TIZAMA GLOVES WAPI KA SAVE? NDIO UENDE KWENYE MWAMBA? GAME IMEISHA LFC NDIO TUJIFUNZE KATIKATI KUWEKA VIJEMBE WAKALI NA WAMALIZIAJI Welldone 2 CHELSEA. PAZI
ReplyDeletemwamuzi alikuwa makini sana, kwani angekubali kama ni goli, ingekumbusha machungu ya lile goli mlilozawadiwa mfungaji akiwa Luis Garcia katika champions league ya 2005, lililookolewa na William Gallas. Mnakumbuka lakini nyinyi wapenzi wa Liverpool.....au mnajua kulalamika bila ya kuwa na data.
ReplyDeleteWadau hapo juu mmemaliza kazi. Tuwe a kumbukumbu na yaliyopita siyo kulalamika tu.Bigup the blues endelezeni maajabu mpaka Champions league.
ReplyDelete