Home
Unlabelled
BASI LA MOMBASA RAHA NA SAFARI YA KARAHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona hujaeleweka? msaada wa nini? gari bovu? barabara mbovu? au pori linatisha sana? nadhani ulimaanisha gari iliharibika kutokana na picha inavyoonekana lakini next time jaribu kujieleza vizuri. nadhani hata uchovu umechangia...
ReplyDeleteFull pori lipo wapi?
ReplyDeleteUkisikia 'Utalii wa ndani' ndio huo
ReplyDeleteDu naona mabox yalojaa senene wanaoletwa Dar. Mkikosa chakula wageukieni senene hao
ReplyDeletegari kuharibika ni jambo la kawaida,unaposema full pori namimi naona mashamba ya mahindi na watu wanatembea mbona sikuelewi,next tyme chukua Air Tanzania
ReplyDeleteSIjaona pori lolote hapo zaidi ya huo uwanda (plain)
ReplyDeleteGari kuharikiba safarini ni kitu cha kawaida. Sidhani kama ni kitu cha kulalamikia kwenye mablog. Kama ungetuambia mmelala hapo siku mbili ningekuelewa.
ReplyDeletenami naungana na mdau aliesema kero ya basi la mombasa raha.hawa watu wanamatatizo sana hasa pale mwanza,jamani wahusika wakuu wa mombasa raha,mtakosa wateja sababu ya wafanyakazi wenu wa pale stendi,wenyewe kama basi ni bovu na limefika,kwanza wanakukatia tiketi fafa,then linalokuja lingine toka mkoa mwingine wanachofanya kama mshaingia ndani ya basi wanawafaulisha,mnapanga foleni tena nje wawape ticket original na siti namba,kiukweli shauri ya ubovu wa mabasi yao,kumekuwa na kero sana huku mwanza,na wanakauli mbovu sana,hapo utakuta walikosa basi zima la kufaulisha abiria kama mizigo,then wakaona watumie hilo hilo,mabasi wanayomengi kanda ya ziwa ila mabovu sana
ReplyDeletepoleni abiria,ndio mombasa raha hiyo
MUHUSIKA WA MABASI YA MOMBASA RAHA,KAMULIKE WATENDAJI WAKO NA PIA REKEBISHA MABASI YAKO
Kwanini upate shida si ungepanda ndege tu? afterall pori unalosema liko wapi? inaonekana wewe mtoto wa mayai sana, so ukiona gari limesimama pasipo watu basi hilo pori, hayo mambo ya kawaida na ndo ndo maana wanasema MSAFIRI KAKIRI/KAFIRI....ACHA KUDEKA WEWE
ReplyDeletejamaa kachanganyikiwa tu, hapo alikumbuka magari yanavyotekwa upande huu wa tanzania akaona aombe msaada kabla majambazi hayajatokea.. tulia, huo ndio usafiri wa bara
ReplyDelete