Waombolezaji wakishusha mwili wa marehemu Peter Mwenguo baada ya kuwasili viwanja vya Karimjee jijijini Dar es salaam leo kwa ajili ya misa na heshima za mwisho kabla ya kupelekwa katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishi
Sehemu ya waombolezaji katika misa na kutoa heshima za mwisho kwa marehemu
Mwanafamilia akiwa na picha ya marehemu Peter Mwenguo
Mwombolezaji akisoma biblia wakati wa misa
Jeneza lenye mwili wa marehemu na wanafamilia wakiomboleza pembeni
Mjane wa marehemu (wa pili kulia), watoto na wanafamilia wakiwa katika misa na heshima za mwisho. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Wakristo tafuteni maombi na maombezi makali. Kuna mkakati wa adui dhidi yetu.
ReplyDeleteShetani na mawakala zake ashindwe na alegee!