Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kuteuliwa Anna Abdallah (kushoto) katika viwanja vya Bunge,mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Aggrey Mwanrijana katika viwanja vya Bunge,mjini Dodoma leo.Picha na Tiganya Vincent-Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2012

    Kidogo nidhanie Mzee Samll kwa hiyo "Tarbush" huyo mzee wa upande wa kulia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...