katika pita pita jioni ya leo Globu ya Jamii iliweza kunasa picha hii maeneo ya Upanga Jijini Dar es Salaam,hii ni njia inayotokea pale kwenye geti la Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani ambapo kuna mashimo makubwa makubwa ambayo yanaleta kero kwa watumiaji wa njia hii,hasa kikifika kipindi cha mvua.sasa sijui kuna mpango gani unaoendelea kwa wahusika juu ya kuifanyia ukarabati njia hii?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2012

    Yanasaidia kupunguza ajali

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2012

    Mashimozz bin mabwawazz, kiangazi yaanze kutupiwa takataka ili lifahamike moja na nyakati za masika yafugiwe samaki. alau yawe useful kuliko hivyo yanavyoonekana hapo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2012

    ndugu hayo mashimo kumbukumbu zangu toka mm nipo nasoma hapo azania na kumaliza mwaka 2011 hakuna kilichofanyika cha kushangaza mtaa wa pili kutoka hapo anakaa diwani wa upanga sijui haoni au?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2012

    Hapo zamani ukimuona dereva moving from one side of the road to the other and back again, wasema mlevi huyo, siku hizi ukimuona mtu aendesha straight, basi na mlevi huyo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2012

    Atafutwe yule aliyekua anaotesha migomba.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2012

    Bonge wa clouds kazi kwako njoo chukua migomba upande Kama ulivyofanya mwananyamala hospitali Hawa watendaji hovyoo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...