Msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi 'Ray' akikabidhi sehemu ya msaada kwa Mlezi wa kituo cha Maunga Centre kilichopo Kinondoni,Zainabu Bakari ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa filamu yake mpya ya SOBING SOUND ambapo alishirikiana na Kampuni ya Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam.vyakula mbalimbali vimetolewa vyenye samani ya shilingi milioni moja na nusu katika kituo hicho.kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Steps, Ignatus Kambarage.
Msanii wa Filamu Nchini Visent Kigosi 'Ray' (katikati) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Steps.Ignatus Kambarage wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kugawa msaada wa vyakula mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre kilichopo Kinondoni,Jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2012

    LEO UMEFANYA JAMBO LA MAANA SANA, BIG UP! MUNGU ATAKULIPA MAALIPO MEMA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2012

    SHUKRANI RAY!MUNGU AKUZIDISHIE KWA HILO!
    MFANO MZURI KWA WENZAKO!

    AHLAM UK

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2012

    Mungu akuzidishie kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...