Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KUPUNGUZA AU KUMALIZA UMASIKINI?
ReplyDeleteWe need poverty eradication sio alleviation!
Maadui wa taifa ni wale wale tangu enzi za mwalimu UJINGA, MARADHI na UMASIKINI.
Je ili kupambana na maadui hao tunazo silaha alizozitaja mwalimu WATU, ARDHI, SIASA SAFI na UONGOZI BORA?
I guess there are people (40+) milioni, Ardhi but we do not have siasa really ni utapeli tu na uongozi HAKUNAGA.
hahahahaha, aisee!Kaaz kwelkwel!!
ReplyDeleteNi kweli unavyosema,Mafisadi ni wengi tokea enzi za Tanu hadi leo bado watu wameng´ang´ania madaraka tu kwa kufikiria matumbo yao binafsina sio kwa kuiendeleza nchi!
ReplyDelete