Home
Unlabelled
hali ilivyokuwa Zanzibar jana wakati wa kuwatawanya watu wa kikundi cha UAMSHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi ni Mmisheni(Mkristo), kama ndungu zangu wanazuoni (Waislamu) walikuwa msikitini wanaswali jamani, tena wanawaombea ndungu zetu waliotutangulia, sasa kuwapa mkong`oto kweli huu ni uungwana kweli?
ReplyDeleteme naona hawa jamaa tena wamezidi mana vifaa vya kwenda kuwatoa wale waloganada kule melini chini hawana, wanasema zoezi limeshindika kwa sababu ya vifaa vya kuitafuta meli hawana, lakini mbona cha ajabu vifaa vya kupiga watu mikwaju na mabomu na risasi mbona hata siku moja haviadimiki tukaskia kuwa watu wameandamana lakini vifaa vya kuwatanya hawana? wadau hemu nisaidieni na hili suala langu ayo ni mawazo tu msjenge chuki!
ReplyDeleteKwa hili polisi wachunguzwe
ReplyDeletemfumo kiristo unaingia katika nchi ya kiislamu na kutaka kutawala kimabavu inna lillah waina illahi rajiun
ReplyDeletehalafu mnamsifu dereva hodari anakuweni wazazi wenu, ndugu zenu, jamaa zenu halafu dereva hodari
kweli sisi bado wajinga sana duu
wakuria wabara uwa uwa wala halua uwa uwa wote washike adabu zao kutaka kuvunja muungano uwa uwa wakuria
ReplyDeleteWazanzibar wanajuuulijana ulimwengu mzima sio watu maratizo tena wanaimani. jamani watu kugombania nchi Yao ni Lisa? Hawatutaki tena jamani tuelewe siku za kupiga kura wanaibiwa kura zao hata ccm imeshidwa ccm wanatangaza wameshinda inajuulikana killa pahali. sasa hivi watanganyika hatuna ujanja tena wazanzibar hawatutaki tena ujunjeni muungano.
ReplyDeleteMnaosema wabara kuhusu tukio hilo mnakosea. Mbona hao askari wapo pia wazanzibar? Na kama ni askari wa bara walijiingilia tu Zanzibar bila kuitwa na wazanzibari wenyewe? Sisi wabara wenyewe hatukufurahia tukio hilo inakuwaje muilaumu bara? Fikirini kabla hamjaandika humu! Chuki zenu dhidi ya watu wa bara ndizo zinawafanya muandike maneno yasiyo na mantiki.
ReplyDeleteWewe mdau unayesema "mfumo ukristo" unaingia zanzibar nafikiri uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Hao maaskari ni wakristo wote? Na huko Zanzibar walifikaje? Acheni kuingiza chuki zenu dhidi ya wakristo, haitawasaidia. Tunachotaka hapa duniani ni kujenga uchumi wa watu wetu ili watu wasiishi maisha ya tabu na sio kupandikiza chuki za kidini zisizokuwa na tija. Mkiachwa waislamu wenyewe mtaweza kufanya yale anayotaka mungu? Waislamu wangapi wanaenda kuhemea kwenye nchi za wakristo. Tungesema nasi tuwachukie nadhani maisha yenu yangekuwa magumu sna.
ReplyDeleteJk . Kikwete chukuwa uwamuzi wowote mnatatutia aibu Sie tulokuweko ulaya tuba majina yetu mazuri n'a marafiki wazuri leo wanatuuliza kwanini hamuwapendi wa zanziba? Unapokea mgeni kutoka nchi zanje kwa furaha . wazanzibar hawana amani wanapigwa mabomu n'a wewe ndo raisi wa tanzania . hebuu waachieni wenyewe kisiwa chao kwa amani n'a upendo . tushazaanao wazanzibar tumechamganya nao damu.udugu utabaki tu hapo hapo Kama mukiwaondolea muungano kwa amani n'a upendo n'a wao wakaunda serekali. ya pekeyao lakini ikiwawa mnafanya hivi itakuwa chili mbaya itazidi
ReplyDeleteUmeongeza point. Swala ni kujenga uchumi wa taifa letu na sio kupandikiza chuki Za kidini baina ya ukristo na uisilamu.
ReplyDeleteHawa askari wametioka bara tangu enzi za uchaguzi wa awamu ya mwisho ya rais mkapa. Baadhi waligoma kurudi kwani walikuwa ndio tu wameajiriwa na wakaona ni bora wabaki huko watumie uugwana wa zanzibar kuwa ni udhaifu, kwa hili naona bora muungano uvunjke kwani huku ni kulazimishana kwa mtutu wa bunduki. tumieni hoja msitishe watu na bunduki na kuwapora mali zao. Aibu sana, mfumo pia upo.
ReplyDelete