Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2012

    Mimi ni Mmisheni(Mkristo), kama ndungu zangu wanazuoni (Waislamu) walikuwa msikitini wanaswali jamani, tena wanawaombea ndungu zetu waliotutangulia, sasa kuwapa mkong`oto kweli huu ni uungwana kweli?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2012

    me naona hawa jamaa tena wamezidi mana vifaa vya kwenda kuwatoa wale waloganada kule melini chini hawana, wanasema zoezi limeshindika kwa sababu ya vifaa vya kuitafuta meli hawana, lakini mbona cha ajabu vifaa vya kupiga watu mikwaju na mabomu na risasi mbona hata siku moja haviadimiki tukaskia kuwa watu wameandamana lakini vifaa vya kuwatanya hawana? wadau hemu nisaidieni na hili suala langu ayo ni mawazo tu msjenge chuki!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2012

    Kwa hili polisi wachunguzwe

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2012

    mfumo kiristo unaingia katika nchi ya kiislamu na kutaka kutawala kimabavu inna lillah waina illahi rajiun

    halafu mnamsifu dereva hodari anakuweni wazazi wenu, ndugu zenu, jamaa zenu halafu dereva hodari

    kweli sisi bado wajinga sana duu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2012

    wakuria wabara uwa uwa wala halua uwa uwa wote washike adabu zao kutaka kuvunja muungano uwa uwa wakuria

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2012

    Wazanzibar wanajuuulijana ulimwengu mzima sio watu maratizo tena wanaimani. jamani watu kugombania nchi Yao ni Lisa? Hawatutaki tena jamani tuelewe siku za kupiga kura wanaibiwa kura zao hata ccm imeshidwa ccm wanatangaza wameshinda inajuulikana killa pahali. sasa hivi watanganyika hatuna ujanja tena wazanzibar hawatutaki tena ujunjeni muungano.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2012

    Mnaosema wabara kuhusu tukio hilo mnakosea. Mbona hao askari wapo pia wazanzibar? Na kama ni askari wa bara walijiingilia tu Zanzibar bila kuitwa na wazanzibari wenyewe? Sisi wabara wenyewe hatukufurahia tukio hilo inakuwaje muilaumu bara? Fikirini kabla hamjaandika humu! Chuki zenu dhidi ya watu wa bara ndizo zinawafanya muandike maneno yasiyo na mantiki.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2012

    Wewe mdau unayesema "mfumo ukristo" unaingia zanzibar nafikiri uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Hao maaskari ni wakristo wote? Na huko Zanzibar walifikaje? Acheni kuingiza chuki zenu dhidi ya wakristo, haitawasaidia. Tunachotaka hapa duniani ni kujenga uchumi wa watu wetu ili watu wasiishi maisha ya tabu na sio kupandikiza chuki za kidini zisizokuwa na tija. Mkiachwa waislamu wenyewe mtaweza kufanya yale anayotaka mungu? Waislamu wangapi wanaenda kuhemea kwenye nchi za wakristo. Tungesema nasi tuwachukie nadhani maisha yenu yangekuwa magumu sna.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 22, 2012

    Jk . Kikwete chukuwa uwamuzi wowote mnatatutia aibu Sie tulokuweko ulaya tuba majina yetu mazuri n'a marafiki wazuri leo wanatuuliza kwanini hamuwapendi wa zanziba? Unapokea mgeni kutoka nchi zanje kwa furaha . wazanzibar hawana amani wanapigwa mabomu n'a wewe ndo raisi wa tanzania . hebuu waachieni wenyewe kisiwa chao kwa amani n'a upendo . tushazaanao wazanzibar tumechamganya nao damu.udugu utabaki tu hapo hapo Kama mukiwaondolea muungano kwa amani n'a upendo n'a wao wakaunda serekali. ya pekeyao lakini ikiwawa mnafanya hivi itakuwa chili mbaya itazidi

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 22, 2012

    Umeongeza point. Swala ni kujenga uchumi wa taifa letu na sio kupandikiza chuki Za kidini baina ya ukristo na uisilamu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 23, 2012

    Hawa askari wametioka bara tangu enzi za uchaguzi wa awamu ya mwisho ya rais mkapa. Baadhi waligoma kurudi kwani walikuwa ndio tu wameajiriwa na wakaona ni bora wabaki huko watumie uugwana wa zanzibar kuwa ni udhaifu, kwa hili naona bora muungano uvunjke kwani huku ni kulazimishana kwa mtutu wa bunduki. tumieni hoja msitishe watu na bunduki na kuwapora mali zao. Aibu sana, mfumo pia upo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...