Bi Harusi Mtarajiwa akipata picha na mama yake mzazi wakati wa sherehe yake ya kufundwa iliyofanyika Bowie, Maryland nyumbani kwa Aunty Grace Sebo.
Bi harusi mtarajiwa akipata picha ya pamoja na Dada yake Mariam (kulia) na Mama yake mzazi.
Bi Harusi mtarajiwa akiwa na mpambe wake katika picha ya pamoja na watoto waliowasindikiza kwa kumwaga maua.
"Pole mama" ndivyo wasemavyo somo wa Bi Harusi, Sophia Mombasa (kulia) na Datuu wakijaribu kumtuliza mama yake Achotto alipokua akilia kwa furaha wakati wa kapu la mama.
Juu na chini ni zawadi alizotoa Sophia Mombasa (somo wa Bi Harusi) kwa Achotto akisindikizwa na marafiki zake.
WanaDMV nao wakipata picha ya kumbukumbu.
Bi Harusi mtarajiwa (wa nne toka kulia) akiwa na ndugu, jamaa na marafiki katika picha ya pamoja.
WanaDMV wakiwa katika picha ya pamoja na WanaATL kwenye Kitchen Party ya Achotto iliyofanyikia College Park Maryland, Nchini Marekani.
Wageni waalikwa waliokuja kutoka Massachusetts wakipata picha ya pamoja.
mama mazonge tumekumiss sana hongera sana mama (northampton )
ReplyDeleteHongera Bi Harusi mtarajiwa na kila la kheri siku ya siku ikifika INSHA ALLAH. Nimependa hao watoto wanne waliosindiiza. MASHA ALLAH wamependeza sana, they're so cute! Mwenyeez Mungu awakuze, wawe watoto wema, awaongoze katika kheri na kuwanusuru shari zote.
ReplyDeleteMashaAllah mmependeza! Tunawaombea kila la kheri. Amin.
ReplyDeletehalohalooooooooooooooooooo
ReplyDeletemmependeza
nadhani mtakuwa nyie niwastaarabu maana nyingi kitchen party hapa mambo yanayofanyika huku na maneno yanayosemwa na baadhi hayapendezi mtoto kuwa msimamizi akayasikia
ReplyDeleteotherwise all the best
watu wa majuu utwajua tu...wana mng'aro fulani
ReplyDelete