Rais Jakaya Mrisho Kikwete, wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje, akiwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam wakati wa sherehe za kitaifa. Wengine toka kushoto ni Wakuuu wa Majeshi wastaafu Jenerali Mirisho Sarakikya, Jenerali Mwita Kyaro, Jenerali Robert Mboma na  Jenerali David Msuguri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2012

    kumradhi muandishi sahihisho Jakaya MRISHO ahsante

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2012

    jamaa kweli mtunzaji, hili shati mpaka sasa hivi analo. Just like Michuzi's the fulana...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2012

    JK ametoka mbali.Ni strategist mzuri sana kutoka nafasi ya kushuhudia na kushuhudiwa na vikosi katika magwaride.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2012

    Jenerali MIRISHO SARAKIKYA ndiyo jina sahihi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2012

    JK Mjanja sana alianza kuusaka Uraisi siku nyingi kwa kujiweka karibu na watu walio au waliowahi kuwa muhimu katika jamii.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2012

    hakuna mwembamba duniani shati la siku nyingi mwaka gani huo

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2012

    Ila hajapiga kelele majukwaani na kuandamana, kutembelea vituo vya polisi na kesi za wanawake kila kukicha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...