Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2012

    msemo wa kizamani huu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2012

    Noana huu usemi unawagusa sana wanaoishi USA na ughaibuni kote ,kwa kuwa watu wanazeeka lakini wanajiona kama bado vijana.
    Jamani huu usemi unamaana sana na una mafundisho mengi,tusidharau, kaa chini fikiria ,wakati ni huu hujachelewa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2012

    Aahahahaa! huu msemo unanikumbusha nilipokuwa shule! Ni msemo mahsusi kabisa kwa vijana wanaotegemea mali za wazazi wakati wao wenyewe ni wazazi tayari. Wanajiona wao bado ni wadogo wakati ni watu wazima tayari... ahahaa Kalagabahoo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2012

    Mon Jul 23, 08:30:00 AM 2012
    Inaelekea una hasira nao sana. Kwani vip?

    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...