Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Peter Serukamba,akiwa miongoni mwa Wabunge walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama Cynthia Hilda Ngoya,akiwa katika ujumbe wa
Wabunge walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama Cynthia Hilda Ngoya,akiwa katika Wabunge
walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipokea Salam za Rambi rambi kutoka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,akiongoza Ujumbe wa Wabunge hilo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,pamoja na Ujumbe Wabunge aliofuatana nao wakati walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais,kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segul iliyozana juzi Ikitokea Dar es Salam na kuelekea Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Mashallah,
ReplyDeleteMavazi yamempendeza Mhe. Spika!
Wasitokee wale wale wachochezi wakaanzia hapo.
Pongezi kwa hilo.
hongera spika makinda umependeza sana kama mama wa kiislam
ReplyDeleteHivi huyu Spika Makinda alijulishwa na nani kama kunamsiba mkubwa Zanzibar? Si nihuyu aliyekataa kuahirisha bunge ili wajumbe waliachaguliwa na wananchi waweze kushirikiana nao katika msiba huu? Huyu si aliona posho ya kikao ni bora zaidi? Sasa ni nini kilicho mpeleka Zanzibar?
ReplyDeleteHapa spika amependeza kweli
ReplyDeleteKumbe Bi Mkubwa nae anaweza kuvaa Hijab? Safi sana Anne nimependa hii.
ReplyDeleteSasa mbona list inaonesha hata wabara wpo waliofariki. Mbona rambirambi zinapelekwa Znz tuuu!
ReplyDeleteSpika umependeza kwelikweli!
ReplyDeleteKweli "When in ROME, do as the ROMANS do". Nimependa sana the way Mh. Spika alivyoji-present, khususan vazi lake, maana limekwenda sambamba na mandhari ya tukio husika (Msiba), Umependeza sana na hongera sana Mh. Spika.
ReplyDeletemashallah umependeza sana Anne makinda kilijobaki usilimishwe sasa na kupewa jiko la kiislamu
ReplyDeleteI can't believe this hivi hata waheshimiwa hawajui maana ya mavazi? Haya tangu lini mkristo akavaa hijabu au ndo wale wanao vaa vazi hili na kujifananisha ili waislamu wazidi kulaumiwa,You should know that we all watching for everyting u a doing.
ReplyDeleteshughuli kweli anna makinda she is a joker, ha ha ha si alaikata kikao kisihairishwe, wanasiasa wabongo bwana duuu mwisho mwisho
ReplyDeleteby the way umependeza mama vaa hivyo hivyo kila siku okay
mama anna, unapendeza yote uliyofanya mazuri kutoka nguo mpaka heshima mbele ya Rais, wewe ni wanasiasa kweli unakuwa kama kinyonga upepo ukibadilika na wewe ufuate. Hijabu kama umezaliwa nayo hususan huu mwezi wa Ramadhan lazima kujistiri maungo umependeza mama yetu, yote yanayofuata ni majungu binafsi tu. Nguo yoyote haihusiani na dini, nguo ni nguo na dini ni kitu kingine. ukiwa na wenye chongo na wewe ziba lako, laweza tobolewa.
ReplyDeletedu, waislam na wazenj kweli mnahitaji kuelimishwa. nani kasma hilo ni vazi la kiislam? mbona tanga hata vijijini kina mama hata wakristo wanafunika vichwa na kuvaa khanga kusitiri maungo? hijab ni vazi lililoboreshwa tu badala ya kujitanda khanga kila mahali na wala sio uislam. kweli wajinga ndio waliwao! mbona wako wengi tu zenj wanapita na jeans njiani wakati ni waislam? na pia wakristo wanavaa hivyo wakati biblia inasema mwanamke na ajifunike kichwa? jamani mavazi ni maamuzi ya mtu katika dunia ya leo na wala sio dini. mtakaliaga hayo hayo!
ReplyDeletechuki binafsi, huwezi kuingia msikitini na miniskirt lkn kanisani unaweza ndio maana wanaita hivyo. bibilia ingefuatwa wakristo wangesujudu badala ya kuinamisha vichwa. Na wewe kalia hayohayo.
ReplyDeleteUmependeza Spika, hizo nguo kama umeazimishwa usirudishe, kaendelee kuvaa hivyohivyo hata bungeni, nadhani nako kunafaa kuvaliwa nguo za heshma kama hizo.
ReplyDelete