Jumuiya ya Boston Massachusetts inasikitika kutanga kifo cha Ndugu yao Patrin Kibelloh 49 amefariki ghafla July 10, 2012.
Habari ziwafikie ndungu jamaa na marafiki waliopo Tanzania na popote pale walipo
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake 5 warden st ,saugas MA 01906.
Mazishi yatafanyika siku ya Alhamis.Mwili wa marehemu utasaliwa Msikiti wa Roxbury. 100 Malcolmx Blvd,Roxbury,MA saa saba mchana 1:00 PM Mnaweza kutowa mkono wa Pole kwa kupitia Imani Mwakawago(Mke wa Marehemu)Account #1314939308 Citizen Bank.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana
Isaac Kibodya 4132191153
Salum Salum. 6173082971
Fadhili Malima 781-437-2776
Kassim Mussa. 617 3190981
Abdallah Masoud. 1-857-247-2021
Halima Chunda +16179535375
Francisca. 17818799050
kaalu inna lillahi wainna ilayhi raajiuun
ReplyDeleteMtoa tangazo, hilo eneo msiba ulipotokea ni Mwanza, Kagera au wapi? Sio kila mtu anafahamu 5 waden st. Weka maelezo vizuri kama ni wapi, ni nchi gani na Mkoa au jimbo/province n.k.
ReplyDeletepoleni wafiwa.
ReplyDeleteswali: hivu kwanini nyie watu wa ughaibuni hususan amerika na uingereza mnapenda sana kujaza manamba ya simu? mbona namba mbili tu zingetosha?
Mdau wa pili are serious? Yaani hujui Boston, Massachusetts iko wapi au basi tu?
ReplyDelete5 warden St. Saugas MASSACHUSETTS (MA)
Lawama za nini weMmbongo nini.Uwingi wa namba za simu(contacts) zinakukera nini wakati suala la namna hii huendeshwa na kamati na kamati ya watu saba si sawa na ya watu wako wawili.
ReplyDelete