Jumuiya ya Boston Massachusetts inasikitika kutanga kifo cha Ndugu yao Patrin Kibelloh 49 amefariki ghafla July 10, 2012.

Habari ziwafikie ndungu jamaa na marafiki waliopo Tanzania na popote pale walipo
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake 5 warden st ,saugas MA 01906. 

Mazishi yatafanyika siku ya Alhamis.Mwili wa marehemu utasaliwa Msikiti wa Roxbury. 100 Malcolmx Blvd,Roxbury,MA saa saba mchana 1:00 PM   Mnaweza kutowa mkono wa Pole kwa kupitia  Imani  Mwakawago(Mke wa Marehemu)Account #1314939308 Citizen Bank.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana

Isaac Kibodya 4132191153
Salum Salum. 6173082971
Fadhili Malima 781-437-2776
Kassim Mussa. 617 3190981
Abdallah Masoud. 1-857-247-2021
Halima Chunda +16179535375
Francisca. 17818799050

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2012

    kaalu inna lillahi wainna ilayhi raajiuun

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2012

    Mtoa tangazo, hilo eneo msiba ulipotokea ni Mwanza, Kagera au wapi? Sio kila mtu anafahamu 5 waden st. Weka maelezo vizuri kama ni wapi, ni nchi gani na Mkoa au jimbo/province n.k.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2012

    poleni wafiwa.
    swali: hivu kwanini nyie watu wa ughaibuni hususan amerika na uingereza mnapenda sana kujaza manamba ya simu? mbona namba mbili tu zingetosha?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2012

    Mdau wa pili are serious? Yaani hujui Boston, Massachusetts iko wapi au basi tu?

    5 warden St. Saugas MASSACHUSETTS (MA)

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2012

    Lawama za nini weMmbongo nini.Uwingi wa namba za simu(contacts) zinakukera nini wakati suala la namna hii huendeshwa na kamati na kamati ya watu saba si sawa na ya watu wako wawili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...