Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dr. Abdallah Omari Kigoda akiangalia alama zinazowekwa na Wakala wa Vipimo kwenye jiwe sahihi ambazo ni muhuri pamoja na namba mbili za mwisho za mwaka husika.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dr. Abdallah Omari Kigoda (wa kwanza kulia) pamoja na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Mh. Balozi Seif A. Iddi ( wa pili kulia) wakipata ufafanuzi toka kwa Kaimu Mkurugenzi Huduma za Ufundi Ndg. Peter Masinga namna ya kutambua jiwe bandia kama picha inavyoonesha mara baada ya ufunguzi wa maonesho hayo pindi walipotembelea banda la Wakala wa Vipimo.
Waziri akiendelea kupata ufafanuzi wa mizani hiyo ya Digital
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dr. Abdallah Omari Kigoda akipata ufafanuzi kuhusiana na matumizi ya mizani ya Digital mara alipotembelea banda la Wakala wa Vipimo kwenye maonesho ya Sabasaba.
Mhe.Dr. Kigoda Mgosi wa Kaya,,,piga kazi Mgosi piga kazi !
ReplyDeleteWabane zaidi baada ya kupiga rungu lako TBS na sasa endelea na Idara zingine!