Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba akichangia mada katika mkutano mkuu wa ITSO (Intrenational Telecommunications Satelite Organisation) unaoendelea mjini Kampala, Uganda
 Ujumbe wa Tanzania katika mkutano mkuu wa ITSO  ukiongozwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. January Makamba(kati) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukutana na Waziri wa ICT nchini Uganda,Dr. Ruhakana Rugunda (wa tatu kulia). Wengine kutoka kushoto ni Enocent Msasi(TTCL),Andrew Kisaka na Elizabeth Nzagi(TCRA),kutoka kushoto ni Said Amir Said, Afisa Mtendaji Mkuu(TTCL) na Jasson Ndanguzi(Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. January Makamba(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dkt. Ladislaus Komba (wa pili kushoto) baada ya kutembelea ubalozi huo nchini Uganda anakohudhuria mkutano mkuu wa ITSO. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Utawala wa Ubalozi Bi. Anisa Mbega wa kwanza kulia ni Afisa wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bw. Jasson Ndanguzi.

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. January Makamba akisaini kitabu cha wageni alipotembelea ubalozi wa Tanzania nchini Uganda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    Ah J you looking good with Mh. Januaru Makamba

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2012

    yes, the slim figure we miss that in our big bellied politicians.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2012

    Anoy wa wa Thu Jul 05, 09:59:00 AM 2012 ndio amekwaa uwaziri subiri kifriji lazima kitokezee. Michuzi analijua hilo. teh teh teh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...