Home
Unlabelled
Fundi mwashi Paul Kagame
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ndugu zangu ,mliopitia vitabu.Leo nina swali moja dogo tu.Nielezeni MVI zinatokana na nini ?? kama ni umri,inakuwaje Paul Kagame hata MVI moja hana ??? Mimi zimeanza kuja ,halafu pia chini naziona zinanyemelea,ingawa nina zinyofoa kila mara ninapoiona imeota.Zebedayo msema kweli.
ReplyDelete1. KUNA MVI AMBAZO NI GENES. KUNA FAMILIA WANA MVI MAPEMA WENGINE MIAKA 60 ZA KUHESABU. KWETU WOOTE KUANZIA MIAKA 30 MVI ZINAANZA KUSAMBAA. WENGINE ZINAANZA KWENYE 20'S. HAKUNA UJANJA. UKING'OA ZINAOTA NA NYWELE.
ReplyDeleteNDUGU YANGU MMOJA KICHWA CHEUPE MIAKA 35.
2. KUNA MVI ZA MAKEMIKALI, WALE WANAOTIA WEAVE, BLICHI N.K KWA WANAWAKE CURLS, PERMING ZOTE HUSABABISHA MVI.
3. NIMEONA PIA KUNA WATOTO WADOGO TU WANAMVI ILA HIZI SIJAZIELEWA. KUNA KATOTO KAMIAKA 10 NYWELE ZIMEOTA NA MVI ZAKE, HILI SIJALIELEWA. ILA ZIPO MAHALI PAMOJA TU KICHWANI, AKINYOA UPARA ZINARUDI PALE PALE. YA MUNGU MENGI.
Maumbile,
ReplyDeleteKwa mtazamo mwingine vitu kama ,Mvi ,Vipara, Kupondeka nyuso-nyuso kushuka mapema ktk umri ni vitu vya kinasaba katika ukoo.
Mdau nakushukuru sana kwa kunitoa kwenye giza la kutofahamu namna gani mvi zinanisumbua ki mawazo, maana Msichana akikuona na mvi tena duh !!! dau linapanda,maana anakuweka kwenye kundi la wazee, eti kwamba , wewe sasa siyorahisi kuokota dogoo. Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteHahahahaha Zebedayo Msema ukweli umenichekesha sana!
ReplyDeleteSasa bwana mkubwa pana yule Miss Tanzania East Africa Juliana Pierre anashindana kule Belgium.
Nadhani ka dogoo haka katakufaa, lakini unawajibika kukafuata huko Majuu kaliko.
Je, unasemaje wakati wewe ni mpinzani mkubwa wa maisha ya Majuu na Madiaspora kuwataka warudi nyumbani?
Bigup Kagame. Kibongobongo jamaa zetu wangeagiza gloves na kusema watandikiwe jamvi wakati wanaonesha kupiga picha wakijenga.... Lakini Kagame na jirani yake Nkurunzinza wanashika tope tu haina noma watanawa....
ReplyDelete