Familia ya Hosea Talawa wa Bahari Beach, Dar es salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Mama Dorah  Talawa  (pichani) kilichotokea  nchini India Ijumaa  tarehe 28 Septemba,  2012 alikokwenda kwa matibabu. 

Mwili unatarajiwa kuwasili leo Jumapili tarehe 30 Septemba 2012  saa Saba mchna na Qatar Airways. Mazishi yanatarajiwa kufanyika  Jumatatu tarehe 1 Oct 2012. "

Bwana alitoa na bwana ametwaa, 
jina lake lihimidiwe - AMINA."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mama alikuwa na roho nzuri sana huyu. Mungu amlaze mahali pema peponi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...