Claudia Mapalala mwenye Joho akiwa na Wazazi wake kutoka kulia ni baba yake Celestine Maufi na Mama Yake Sarah Maufi na  na Dada Yake Emmy Kimwaga wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusherehekea Mahafali ya kumaliza kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya St,.Joseph Millenium ya Goba jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera Claudia na ongeza jitihada zaidi kuendelea na Masomo ya Juu!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mtoto wetu. Yaani nimefurahi kukuona Sara, unanikumbuka tulisoma wote Ngarenaro?
    Angela Nyaki.

    ReplyDelete
  3. MAPALALA MBOYA yupo wapi siku hizi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...