Claudia Mapalala mwenye Joho akiwa na Wazazi wake kutoka kulia ni baba yake Celestine Maufi na Mama Yake Sarah Maufi na na Dada Yake Emmy Kimwaga wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusherehekea Mahafali ya kumaliza kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya St,.Joseph Millenium ya Goba jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
mdau Claudia mapalala afurahia kihitimu kidato cha nne
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera Claudia na ongeza jitihada zaidi kuendelea na Masomo ya Juu!
ReplyDeleteHongera sana mtoto wetu. Yaani nimefurahi kukuona Sara, unanikumbuka tulisoma wote Ngarenaro?
ReplyDeleteAngela Nyaki.
MAPALALA MBOYA yupo wapi siku hizi?
ReplyDelete