Mkurugenzi wa Kibodya hotel Bw. Mohamned Kibodya  akipakia vitu vya kupelekea wagonjwa mkono wa Eid  katika hospital ya Ocean road jijini Dar es salaamLeo

Mkurugenzi wa Kibodya Hotel Bw. Mohamed Kibodya akimpatia chakula cha mchana na zawadi za Eid mmoja wa wagonjwa hospitalini hapo

 Mama Kibodya akitoa zawadi za Eid katika hospital ya Ocean Road Leo
 Bw. Mohamed Kibodya akisikiliza maelezo ya wagonjwa kutoka kwa Dkt Ayuob

Wafanya biashara wa dar wakiwa katika hospital ya Ocean Road baada ya kutoa zawadi za Eid kwa wagonjwa leo. Chini wakipandisha vyakula wodini

Mkurugenzi wa Kibodya hotel Bw. Mohamed Kibodya akiwa pamoja na Diwani wa Kariakoo leo kutoa Baraka za Eid kwa wagonjwa


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Heri ya idi wadau, napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza familia ya Kibodya kwa moyo wa upendo kwa wagonjwa. Huu ndio uislamu tunaoufahamu hapa Tanzania miaka yote, mungu awajalie baraka zake, mzidi kuwa na upendo na waislamu wenzangu na watanzania kwa ujumla tuige mfano huu wa familia ya Kibodya ya kuishi kwa kupendana.

    Napenda pia kuchukua nafasi hii kulaani vikali vitendo vya kihuni vinavyofanywa na kikundi cha watanzania wachache wajulikanao kama waislam wa siasa kali, naomba watanzania wenzangu tuungane kukemea vitendo vyao viovu na kama wanaishi jirani au watu mnaowafahamu muwakemee vikali na kuwaripoti kwenye vyombo husika, mungu ibariki Tanzania tujalia upendo na amani. Ameen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...