Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye (kushoto) akizungumza na Warembo wa Redd's Miss Tanzania walioingia kambini leo kwenye hoteli ya Geraffe,jijini Dar es Salaam.Jumla yaWarembo 30 wameingia katika kambi hiyo leo.
 Baadhi ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwasili katika Hoteli ya Geraffe,jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakipata chakula cha Mchana leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. I have a question that troubles me a bit,these so called "warembos" have they got day jobs as well, or what they know best "ni kuuza sura tu", are they students, Doctors, Nurses, Teachers, Accountants, Engineers? what is their education level on average?, La saba? O Level, A level, College or University?

    ReplyDelete
  2. HUU NI UTUMWA WA AKILI, MICHUZI Bania au usibanie ujumbe nimefikisha.

    ReplyDelete
  3. mnawafundisha nini jamii hii yetu eti kila leo kuwa mamodel na kuwa movie star na waimbaji mbona hamji na cha maana kama vile kuonyesha wasomi kuwakuza wenye special talents za kusoma etc, inanikera ile mbaya kila ukisoma habari kutoka nyumbani habari ndo hizi na wapo wanaofaidika kutoka katika migongo ya hawa wasichana ndo maana mambo haya yanaendelea kila leo na kila siku

    mdau anayekereka kuona kila leo tanzania yetu inafisidika kwa starehe za kipuuzi puuzi na kipumbavu pumbavu, na kuliwa kwa rasli mali zetu ovyoo na mataifa ya nje na wajanja wa ndani

    muhidin issa michuzi niweke hii comment usipo weka nitajua na wewe pai fisadi


    mdau U.K London

    ReplyDelete
  4. nilijua commment yangu hutoweka fisadi na wewe pia michuzi wa hii nchi

    ReplyDelete
  5. Hawa binti wawili wa mwisho mbona wamekaa 'kikazi' zaidi kuliko fani ya urembo? ndio maana hatufikagi mbali hata mwaka mmoja! ni kuuza sura tu kama hawa

    ReplyDelete
  6. Uzuri wa Warembo wetu,

    Hawa watoto waqnajitahidi koooote kuanzia ngozi, reception 'uso' angalau mpaka hata mikogo ya kutembea!,,,isipokuwa pale Rhumba linaponoga ni kwenye CORRUSS AU KIBWAGIZO hata kama iwe ni Muziki wa Lizombe au Mchiriku,,,wasichana wanachemka kwenye paa la nyumba yaani NYWELE unakuta Mchina ameshika hatamu kwa kuingiza Makontena na Makontena ya MANYOYA YA FARASI!

    Nani aliwaambia kuwa na MANYOYA YA FARASI KICHWANI NDIO KIGEZO CHA UREMBO?

    WALE AKINA 'MAMA YEYO' WA KIMASAI NA WASICHANA VIGORI WA KIMASAI 'NDITOO' MBONA WANANYOA VIPARA NA BADO WANAKUWA WATAMU KWA UZURI?

    ReplyDelete
  7. Warembo eee Miss Tanzania!

    Mimi ni Kidume nasaka saka, na atakayebahatika atakula bata kwa mrija ($$$) maisha yake yote zaidi ya Kushinda huo U-Miss isipokuwa nataka mwenye nywele za kuzaliwa nazo!

    Kwa sababu miongoni mwa Raha zangu ni kupitisha ulimi katika nywele kichwani hivyo nataka mwenye nywele za asilia na sio Mchina.

    Je, ni nani kati yenu anazo ?

    ReplyDelete
  8. mm hapa ninazo.....natural hair.... ila sitaki watu wanaojitamba ka ww

    ReplyDelete
  9. Ninazo nywele za asili kabisa ila sitaki mtu anaejitamba ka ww

    ReplyDelete
  10. Wed Oct 03, 03:02:00 PM 2012

    Wed Oct 03, 03:05:00 PM 2012

    Wewe au Ninyi hapo juu Mtoa Maoni wa 8 na wa 9 hamna 'nywele asilia' hata kama tutapanga uonekane utaumbuka bureeee, kwa kuwa hili ni janga la Kitaifa kwa Mabinti na Wanawake kushindwa kujiamini na nywele zao asilia walizozaliwa nazo!

    Mini ni Lazima nitambe kwa kuwa ni Kidume na nataka mtu kwa sifa za asilia (MREMBO ASILIA WA KITANZANIA) na sio za kughushi kama kuwa na nywele za Mchina!

    ReplyDelete
  11. Ninyi Wadau wawili hapo juu Wed Oct 03, 03:05:00 PM 2012 na Wed Oct 03, 03:02:00 PM 2012

    HUYO KIDUME MWENYE ($$$) Wed Oct 03, 01:42:00 PM 2012 NI LAZIMA ATAMBE KWA KUWA AMESHAITAMBUA SIRI YA UREMBO KWA KUTAKA BINTI ASILIA WA KITANZANIA NA SIO MWENYE NYWELE ZA FOTO KOPI YA MCHINA-MCHINA !

    ReplyDelete
  12. Mdau wa 8 na wa 9 , ni jambo gumu kwa zama hizi kumapata Mrembo ambaye haja foji hata kitu kimoja !

    Labda wende Kijijini!, tena umwendee Mrembo Alfajiri akitoka kitandani kabla hajakaa kujirembua kwenye kioo!

    Utakuta mrembo ana Nywele asilia lakini Makalio Mchina!

    Utakuta Mrembo ana Makalio na nywele asilia lakini Kope na Nyusi Mchina!

    Utakuta Mrembo ana Makalio, Nywele,Nyusi na Kope asilia, lakini Rangi ya kujichubua !

    Ohhh imekuwa ni balaa!

    Kumpata 'kuku wa Kienyeji' kaaazi kweli kweli?

    ReplyDelete
  13. ILI KUDHIBITI VIWANGO VYA UZURI WA ASILIA:

    Kuna kila Sababu Mamlaka kama ya Utamaduni na Waandaaji wa haja Mashindano ya Urembo kuvipitia Vigezo vya kuwapata Warembo kwa sifa zinazokubalika tena kwa vigezo vya uzuri wa asilia!

    Hapa kuna kila dalili tunapata wawakilishi wa kufoji uzuri ingawa mantiki ya Mashindano inazingatia mambo mengine zaidi ya huo uzuri!

    Kama sera hizo zitapita kuwa ni vigezo,

    Kwa nini pasiwe na Ukaguzi wa wanaofoji kwa kuwa na nywele ,kope, makalio na rangi za ngozi bandia?

    ReplyDelete
  14. Wewe Anoy wa 8 na 9 mtakuwa nazo hizo hizo za nywele za Mchina !

    Kama alivyosema Kidume wa No. 7 hapo juu Anoy Wed Oct 03, 01:42:00 PM 2012 nywele asilia zina utamu wake Kudume anapozipapasa!, kama anavyosema anazamisha ulimi wake ndani ya nywele kwa raha zake!

    Sasa patakuwa na raha gani Kidume akazamisha ulimi wake katika nywele za mwenza (demu) badala ya nywele asilia akakutana na nywele za Mchina, Manyoya ya Farasi ya Mchina?

    SI ANAWEZA KUPALIWA NA MAGOYA HAYO?, HUENDA NYWELE ZILIZO KATIKA ZIKAZAMA KWENYE KOROMEO LA KIDUME AKAANZA KUPALIWA NA KUKOHOWA?

    kwani hatuwajui dada zetu kwa upedna uzuri wa kufoji?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...