Kuna wadau wa Globu ya Jamii waliomtaka Ankal awatajie nyimbo azipendazo. Naye kaamua kuweka mmoja wa nyingi aipenday na kuweka video yake kabisa.... Ni 'Midas Touch' ya Midnight Star enzi hizooo za za mabuga na raizoni. Kwa wale wadau wa YMCA ya kina Dj Johnson Kalikali (RiP), Neagre Jay na Super Deo watajua ana maana gani
Home
Unlabelled
Nyimbo azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Thanks uncle, umenikumbusha mbali, when the music really made sense, nakumbuka disco baada ya Midas Touch, utapigiwa Trapped na colonel Abrams, The finest by The S.O.S band, etc etc.
ReplyDeleteMidnight start ilianzishwa Kentuncky university mwaka 1976, wote walikuwa wanafunzi wa KSU kasoro Vincent Calloway (Trombonist) ambaye ni mdogo wake Reggie Calloway (Mwasisi wa bendi na mpiga tarumbeta, wanabendi wengine walikuwa, Belinda Lipscomb-Mwimbaji, Melvin Gentry- Gitaa/mwimbaji, Kenneth Gant- Bez gitaa, Bo Watson- Kinanda/mwimbaji, Jeff Cooper- Gitaa/kinanfa na Bill Simmons- Multi Instrumentalist.Haya sasa vijana wa muziki wa kizazi kipya,huu ni mfanao wa bendi za zamani za Marekani ambao walipita shule.
Uncle Thanx: Naomba niongeze wimbo mbili tu za enzi hizo: Odissey - Going back to my Roots na Brothers Johnson - Stomp. Its good that is Sunday: nimewasha music full blast na nina-enjoy good old times: Blackmpingo (one of the ever best gate crashers):)
ReplyDeleteNIMEKUBALI ANKAL WEWE NI MKALI WA KUCHAGUA MASONGI.
ReplyDeleteKALLEY
HAHAHAHAHA UNCLE KWA UTANI BANA! HAYA JUMAAPILI NJEMA
ReplyDeleteMkuu Ankal,umetukumbusha enzi zile za madisco kama vile YMCA,Bahari n.k na kila mtu alikua mtanashati
ReplyDeleteAnkal unatukumbusha mbali ikutupiga picha ktk kumbe za katikati ya jiji la Dar mfano Mbowe Hotel enzi hizo.
ReplyDeleteAsante picha hizo bado tunazo tunakumbuka enzi za Disco.
Mdau
Mtoto-wa-Mujini
Ooh ''Treat Her Like A Lady'' by The Temptations pamoja na hao Midnight Stars , The Whisppers siyo mchezo mambo yalikuwa makubwa enzi hizo.
ReplyDeleteAh,kaka umenikumbusha kilee kipindi cha From me to you cha Radio Tanzania External Service saa 8:30 mchana kila Jumapili ilikuwa never miss halafu ikifika Jumatatu shuleni tunaulizana
ReplyDeleteEbanaeee ulisikia ngoma za jana kwenye Redio?
Great that was those very goood days to remember,wana Forodhani Sekondari 1980's mpooooooooo?
wapi mama Khamsini jamani
Mdau
Isipokuwa Midaz Touch imechezwa wakati Mabuga na Raizoni zimeshapita!
ReplyDeleteEnzi za 1900 Studio Disco pale Maggot kwa akina dada vijana warembo na Mbowe Hotels 2000 Space Disco huku YMCA na Rungwe Oceanic na Silver Sands zikishika kasi!
Nakumbuka watu walikuwa wanavaa Raba aina ya 'Superga' na Mokasini kama za aina inayoitwa 'Youthful' ilikuwa miaka ya 1985-1986-1987 hivi!
Au siyo Wadau?