Home
Unlabelled
romney akubali matokeo, ampongeaza rais obama kwa ushindi wa kishindo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kura ngapi au asilimia ngapi ushindi unaitwa wa kishindo?
ReplyDeleteAmeshinda Kura za electoral college 303 na wakati zilikuwa zinahitajika 270 tu kushinda.
ReplyDeleteHuo ni ushindi wa kishindo ameweka rekodi
Na sisi Tanzania tunahitaji matokeo ya Urais ya uchaguzi mkuu yatangazwe siku hiyo hiyo ya Uchaguzi.Haya mambo ya kubeba kura kupelekwa sijui wilayani yamepitwa na wakati-IWEKWE KWENYE KATIBA MPYA HII!!!!
ReplyDeleteDavid V
kwa kweli mfano wa kuigaa kbsaaaa TZ tubadilike tumechokaaa
ReplyDeleteMatokeo ya Uchaguzi Marekani lei ni sawa na Mabango ya Matokeo ya Mpira Simba V/S mtibwa na Yanga V/S Azzam hapa Tanzania Jumapili ya 4-Novemba, 2012 ambapo yalisomeka hivi
ReplyDelete1.BARACK HUSSEIN OBAMA-270
MITT ROMNEY-33
2.YANGA S.C-2
SIMBA S.C-0
HIVYO KWA MATOKEO HAYO 'KIUJUMLA' WASHINDI NI YANGA S.C NA BARRACK H. OBAMA!!!
Woyo woyo woyo woyo woyo woyo,!!!
ReplyDeleteBARACK OBAMA kama YANGA S.C
MITT ROMNEY kama SIMBA S.C (chalii)
YANGA-2
SIMBA-0
BINGWA YANGA NA OBAMA !!!
Obama had a 58,720,700 (50.1%) to 56,145,950 (48.4%) lead on Mitt Romney for the popular vote.
ReplyDelete