Home
Unlabelled
vijimambo vya singida....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KARIBU MAPEMA GUEST HOUSE :
ReplyDeleteMaana yake ni kuwa ukija umechelewa itakula kwako na mibegi yako ya safari kwa kuwa utakuta Wateja wa Short time wamesha jaza vyumba vyooote!
Ili kumuondolea lawama Muhudumu ndio maana jina la Gesti likapendekezwa liwe hilo kwa msaada wa Wateja wao.
Utajikuta unasaidiwa kwa kulala Kauta na Mhudumu wa Mapokezi!
Mnhhh mtampata nani?
ReplyDeleteMalizia jinala Gesti kama hapo chini,
''KARIBUNI MAPEMA GUEST HOUSE MJAZANE NA MIBEGI BEGI YENU HALAFU MWINGILIWE USIKU WA MANANE MKOMBWE KILA KITU''
Kama ni mimi Gesti hiyo silali bora nikaombe msaada kulala Kituo cha Polisi!
Kwa mtindo huu ndiyo yale yale usuku wa manane mnaingiliwa kwa mipango ya Wahudumu!
Ohooo
ReplyDeleteGesti hiyo nitalala 'Kisungura' yaani nusu usingizi!
Ikiwezekana kabla ya kulala hapo ndani nitakwenda kwenye Kijiwe cha kahawa ninywe nyingi ili niweze kukosa usingizi, nikeshe nikiwa macho.
Lolote laweza kutokea hapo sio bure jina hilo.
Mbinu za medani wenye Gesti hiyo,
ReplyDeleteMimi nitatumia Ukomandoo, nitachukua chumba, ile naingia nitakikagua kwanza nitahakikisha pana mlango wa dari ndio nikikubali kisichokuwa na huduma hityo muhimu ya ''Dirisha dogo la darini'' nitamwomba Muhudumu anibadilishie chumba, nikipata chumba chenye mpango wa dari nitakikubali, nitalala.
Usiku ile pwaaa wakekuja, mimi anhh narukia bukta langu na fulana, nachomeka pochi langu kibindoni na simu, nafungua mlango wa darini naenda ANGA ZA JUU DARINIIII KUPITIA MLANGO WA DARI!!!
WAKIMALIZA OPERESHENI YAO VYUMBA VYOTE NDIO NASHUKA CHINI WAMENIKOSA!
Heee kwa jina hilo la Gesti hapo Bundi anaunguruma!
ReplyDelete